22Bet Mapitio ya Bookmaker 2021 + Bonasi

5.0 / 5
5

Licha ya kuwa 22Bet ndiyo kwanza inaanza na kueneza mizizi yake katika soko la kamari nchini Kenya, kuna kila dalili za kuonyesha kuwa ni kampuni ambayo itatoa ushindani mkubwa kwa kampuni zingine ambazo tayari zipo nchini.

Maelezo ya Jumla Kuhusu Biashara

Kampuni ya 22Bet ni kampuni mpya ya kamari ambayo ndiyo kwanza inaingia katika soko la kamari nchini Kenya. Kampuni hii inakupa fursa na nafasi ya kuweka dau na kupata matokeo yanayopendeza zaidi. Ukiwa katika tovuti ya 22Bet unaweza kuweka dau kwa urahisi na kwa njia salama.

Pia unaweza kuweka na kwenye akaunti yako na kutoa pesa ulizojishindia kwa njia rahisi na ya haraka.

22Bet ni ina zaidi ya michezo 1000 ya kuweka dau kila siku ikiwa ni pamoja na spoti, michezo ya kielektroniki, michezo ya kisiasa na hata michezo ya kijamii.

Pia kuna manufa mengi ambayo unaweza kuyapata katika 22Bet ambayo huduma za kisasa za kamari zinapaswa kutoa.

Inawapa wateja wake chaguo kubwa zaidi la masoko kwenye mchezo wowote pamoja na njia zinazowafaa za kuweka na kutoa pesa, kutoa pesa kwa haraka, mfumo wa kipekee wa bonasi kwa wateja na zaidi.

Mambo yanayovutia zaidi katika 22Bet ni kama yafuatayo;

Uchanganuzi wa Odi

22Bet inakupa kila kitu unachohitaji ili uweze kuchanganua kwa njia bora zaidi odi katika wakati halisi. Hii inajumuisha maelezo sahihi na ya kuaminika kabisa kuhusu odi.

Odi za Kupendeza

22Bet inatoa odi za juu na zinazovutia zaidi ikilinganishwa na odi za kampuni nyingine za kamari kwenye michezo sawa. Utapata odi nzuri za kuweka dau zako katika aina yoyote ya mchezo. Odi hizi nzuri ni jambo ambalo linapendeza zaidi kwa sababu ni za kipekee ambazo huwezi kuzipata katika kampuni zingine za wastani za kamari. Kwa hivyo iwapo unatafuta kampuni yenye odi nzuri, za kuvutia na kupendeza, ninapendekeza kuwa usiangalie kwingine tena maana 22Bet ndipo mahali pako ambako utapata kila unachohitaji wewe kama mpenzi wa michezo ya kamari.

Michezo Mingi Zaidi

Nimependezwa zaidi na 22Bet kwa kuzingatia aina nyingi za michezo inayopatikana ili kuwekewa dau. Mteja wa 22Bet ana chaguo nyingi zaidi za michezo ambako anaweza kuweka dau yake kuanzia kwa Basketiboli, Mbio za Baiskeli, Michezo ya Televisheni, Besiboli, Formula 1, eSports, Tenisi, Bahati Nasibu, Kulenga Shabaha, Ndondi, Chesi, Handiboli, Raga, Voliboli, Snuka, Futsal, Mpira wa vinyoya, Netiboli, Riadha, Muay Thai, Water Polo, Skwoshi, Gofu, Voliboli ya Ufukweni na zaidi.

Usaidizi wa Kitaalamu kwa Wateja
Nimefurahishwa sana na huduma za usaidizi kwa wateja ambazo 22Bet inatoa. Si tu huduma za kitaalamu lakini pia ni huduma ambazo unaweza kuzipata wakati wowote unapozihitaji. Unaweza kutumia huduma ya kupiga gumzo mtandaoni kwenye wavuti au uwasiliane nao kwa njia ya barua pepe. Maelezo yote ya anwani za mawasiliano ya tovuti ya 22Bet yameorodheshwa kwenye ukurasa wao wa ANWANI. Kwa hivyo, unaweza kupata usaidizi wa kitaalamu wakati wowote kwenye 22Bet.

Masoko Mengi ya Kuweka Dau

Kando na odi za kuvutia kwa kila mchezo, utafurahia pia kupata masoko mengi ya kuweka dau kwenye mchezo mmoja. Jambo hili linarahisisha zaidi na kuongeza uwezekano wa kushinda hela nzuri kwa kuchagua soko bora linalokupendeza na unalolifahamu zaidi. Kama mteja, unaweza kuweka aina zote za dau kuanzia kwa dau ya mchezo mmoja, dau ya michezo nyingi, dau za mifumo, dau za msururu na zaidi. Kwa wastani kuna zaidi ya aina 30 za masoko kwa kila mchezo. Unaweza kuweka dau kwenye masoko ya kawaida yanayojulikana hadi kwenye masoko ya ziada ya usawazishaji wa nguvu za timu, masoko kuhusu idadi ya kadi zitakazotolewa kwenye mechi, matukio yatakayotokea katika mchezo, takwimu za mchezaji mahususi na zaidi. Litakuwa jambo la kuvutia hata zaidi iwapo 22Bet itagundu na kuongeza masoko zaidi ili kutoa fursa nyingi kwa wateja kuchagua soko linalowafaa zaidi.

Usalama na Kanuni

Ni jambo la kutia moyo kujua kuwa kampuni ya kamari unayojisajili nayo ina leseni na ni halali. Nimefurahia kujua kuwa 22Bet ni kampuni halali na yenye leseniu ya kufanya biashara hii ya kamari na kuwa inaruhusiwa kufanya kazi nchini Kenya. 22bet ina leseni yake jijini Curacao na ina kibali cha kuendesha biashara chini ya Pesa Bets LTD ambayo ni mtoa huduma za wavuti yao ina leseni kutoka kwa BCLB (Bodi ya Leseni na Udhibiti wa Kamari ya Kenya) chini ya kifungu cha 131 cha sheria ya Michezo, Kamari na Bahati Nasibu, sheria za Kenya chini ya nambari ya Leseni: BK 0000121.

Programu za Vifaa vya Mkononi
Programu za vifaa vya mkononi vya 22Bet vina muundo na kiolesura cha kuvutia zaidi machoni. 22Bet ina programu zinazotumika za vifaa vya mkononi zinazojumuisha programu za Android, iPhone, na Windows.

Nimependezwa zaidi na programu za 22Bet zinazotumia toleo la Android, Programu hii ni safi ya kupendeza ukiitazama kwenye kifaa chako cha mkononi cha Android.

Kwa kifupi, utapata menyu kuu ya kitabu cha spoti katikati mwa ukurasa wa program ambapo utapata spoti ambazo zimepangwa kulingana na aina na saa za kuanza pamoja na odi zinazoelekea upande wa kushoto mwa ukurasa. Unaweza kusogeza ukurasa huu chini ili uone aina zaidi za michezo inayopatikana. Ukipata mchezo ambao ungependa kuweka dau yako, gonga katika nafasi iliyo na majina ya timu zinazoshiriki na 22Bet itafungua masoko yote kwenye spoti hiyo. Sogeza chini tena katika sehemu hii za masoko ili upate soko linalokupendeza. Baada ya kupata soko ambalo ungependa kuwekea dau zako, bofya tu kwenye soko hilo na 22Bet itakusaidia kuweka dau yako kwa haraka. Shughuli hii yote ni rahisi na ya haraka hutatatizika hata kidogo katika mchakato wa kuweka dau.

Mbinu chaguomsingi ya onyesho la odi kwenye 22Bet ni mbinu ya Kiingereza ambapo odi zinaonyeshwa kwa muundo wa desimali.

Kipengele kingine cha kupendeza zaidi ni cha kuwapa wateja fursa ya kucheza michezo ya moja kwa moja. Ukibofya kichupo cha michezo ya moja kwa moja, utaletewa michezo yote inayochezwa moja kwa moja pamoja na muundo wa kawaida wa odi. Unaweza kuweka dau moja kwa moja kwa kuchagua soko unalopenda au ubofye sehemu iliyo na majina ya timu zinazocheza ili uone masoko zaidi na uchague soko linalokupendeza.

Hatimaye, tovuti ya 22Bet ina kasi na hali ya kujibu ya juu zaidi. Hakuna wakati wowote ambapo ukurasa unapakia kwa kasi ya chini au ukurasa wa tovuti kutojibu kwa wakati. Hali hii ni hakikisho kuwa 22Bet ina zana za kutosha za kiufundi za kutekeleza biashara ya kamari ya mtandaoni.

Kuweka Dau katika Michezo ya Spoti

22Bet ina aina nyingi ya masoko ya kuweka dau katika michezo ya spoti. Unaweza kuweka dau kwa zaidi ya michezo 1,000 kwa siku – ikiwa ni pamoja na michezo ya Basketiboli, Mbio za Baiskeli, Michezo ya Televisheni, Besiboli, Formula 1, eSports, Tenisi, Bahati Nasibu, Kulenga Shabaha, Ndondi, Chesi, Handiboli, Raga, Voliboli, Snuka, Futsal, Mpira wa vinyoya, Netiboli, Riadha, Muay Thai, Water Polo, Skwoshi, Gofu, Voliboli ya Ufuoni na zaidi. Kando na dunia hii nzima ya michezo ya kucheza, nimefurahishwa na kuona kuwa pia kuna sehemu ya takwimu ambayo inakupa maelezo yote unayohitaji kujua. Hiki ni kipengele ambacho kinapendeza zaidi kwa sababu wateja wanaweza kusoma takwimu za mchezo kabla ya kuamua kuweka dau zao.

Kufungua Akaunti

Shughuli ya kufungua akaunti kwenye 22Bet ni rahisi na ya haraka zaidi. Ni shughuli inayochukua muda mfupi. Iwapo wewe ni mteja mpya na unataka kufungua akaunti na 22Bet, unaweza kufanya hivyo kwa kuingia katika tovuti yao kwa kutumia kiungo (22bet.co.ke) au kwa kutumia programu za vifaa vya mkononi.

Baada ya kuingia kwenye tovuti ya 22Bet au kufungua programu zao za vifaa vya mkononi kwenye simu yako, katika upande wa juu kulia mwa ukurasa, utaona sehemu ya JISAJILI. Utahitajika kubofya kitufe cha JISAJILI kisha utaweza kufuata maelekezo ili uweze kujisajili.

Shughuli ya kujisajili ni rahisi kabisa na ni kama ifuatavyo;

 • Utaweka nambari yako ya simu ukianza na msimbo wa nambari za simu za nchi ambako unapatikana.
 • Kisha utafuata kwa kuchagua sarafu ya nchi ambako unapatikana.
 • Hatua hiyo itafuatwa na kuunda nenosiri lako mwenyewe
 • Kisha utaandika tena nenosiri hilo tena katika sehemu ya kurudia nenosiri ili kuthibitisha kuwa manenosiri yote yanalingana.
 • Utapokea SMS yenye nambari ya kuthibitisha kwenye simu yako.
 • Weka nambari hiyo ya kuthibitisha
 • Kisha utabofya kitufe cha jisajili na utakuwa umefungua akaunti yako ya 22Bet.

Kuweka na Kutoa Pesa

Huduma ya kuweka na kutoa pesa katika 22Bet ni rahisi na ya haraka. 22Bet imechukua mfumo kama wa kampuni zingine za kamari nchini Kenya ambapo mchezaji anaweza kuweka na kutoa pesa zake kwa njia ya simu kupitia huduma ya Mpesa.

Kando na Mpesa, pia mteja anaweza kutumia njia maarufu za kulipa za zamani kama vile kadi za Visa na Mastercard.

Pia nimefurahia kuona kuwa kiasi cha chini cha pesa za kuweka kwenye akaunti ya mteja kwenye 22Bet ni KES 100 pekee. Hiki ni kiasi nafuu na kila mteja anaweza kukimudu kiasi hicho.

Huduma ya Usaidizi kwa Wateja

Huduma ya usaidizi kwa wateja katika 22Bet inapatikana kila wakati bila vipimo vya saa. Iwapo una tatizo lolote kuhusiana na shughuli yako ya kucheza katika 22Bet, utapa suluhu kwa haraka zaidi utakapowasiliana na timu yao ya usaidizi kwa wateja. Timu ya 22Bet ya kutoa usaidizi kwa wateja ina wawakilishi wa huduma kwa wateja waliohitimu na kupata mafunzo ya kina kuhusu jinsi ya kuwahudumia wateja na wanaweza kuongea Kiingereza, Kirusi na Kijerumani.

Unaweza kuwasiliana na huduma yao kwa wateja ya 22Bet kupitia barua pepe na gumzo la moja kwa moja.

Iwapo unataka kupata usaidizi kwa njia ya haraka zaidi, kuna chaguo la gumzo la moja kwa moja ambalo ni njia ya haraka zaidi ya kuwasiliana na huduma kwa wateja. Huduma hii inapatikana wakati unapoingia katika tovuti ya 22Bet. Ukiwa katika tovuti ya 22Bet, katika pembe ya chini kulia mwa ukurasa, utaona kisanduku kidogo chenye rangi ya kijani isiyokoleza ambacho kinakuomba uulize swali. Unachohitaji kufanya tu ni kubofya kisanduku hiki na kitapanuka na kuleta sehemu ambayo utaweza kuandika ujumbe wako ili uweze kuanza kupiga gumzo na mwakilishi wa huduma kwa wateja aliyepo mtandaoni.

Unaweza kuwasiliana na wawakilishi wa kutoa huduma kwa wateja waliotayari kujibu maswali yako kupitia gumzo la moja kwa moja au kupitia njia ya barua pepe kwa (support@22bet.com). Kwa vyovyote vile, kuna uhakika kuwa 22Bet ni kampuni ya kamari ambayo imejitolea zaidi kushughulikia masuala yanayowakumba wateja wake kwa haraka na kwa heshima kuu.

Bonasi na Ofa

22Bet imegundua kuwa ofa na bonasi nzuri ndicho kigezo muhimu zaidi cha kuwavutia wateja na kudumisha wateja. Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kamari ya mtandaoni, unafaa kutembelea tovuti ya 22Bet ambako utavutiwa zaidi na kupata motisha ya kuweka dau kwa kuzingatia bonasi na ofa za kupendeza zinazotolewa na 22Bet.

Mifano ya ofa zinazotolewa na 22Bet ni kama zifuatazo;

Ofa za Makaribisho Unapojisajili

Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kamari ya mtandaoni na unatafuta kampuni bora ambayo ungependa kujisajili na kuanza kucheza au iwapo tayari wewe ni mwanakamari na ungependa kupata kampuni bora zaidi au iwapo unataka kujisajili kwa mara ya kwanza katika michezo ya kamari ya mtandaoni, usingoje tena. Tembelea ukurasa wa tovuti ya 22Bet na ujisajili sasa ili uweze kupata bonasi ya hadi KES 15,000 sasa. Hii ni bonasi ya kipekee ambayo ni bora zaidi ikilinganishwa na bonasi zinazotolewa na kampuni zingine za wastani za kamari.
Ofa ya Kila Ijumaa ya Kuongeza Pesa kwenye Akaunti
Kila Ijumaa ni siku ya kipekee kwa wateja wa 22Bet. Ukiweka pesa kwenye akaunti yako siku ya Ijumaa, unapata fursa ya kujishindia bonasi ya 100% ya hadi KES 12,000 ili uweze kuongeza kiasi cha pesa kwenye akaunti yako za kuweka dau na kushiriki katika ofa yao ya kila Ijumaa ya KUONGEZA PESA KWENYE AKAUNTI.

Manufaa/Kasoro

 • Manufaa
 • Bonasi ya kupendeza ya makaribisho
 • Huduma ya usaidizi kwa wateja inapatikana wakati wowote kupitia gumzo la moja kwa moja na kwa njia ya barua pepe
 • Unaweza kutumia akaunti moja kuweka dau kwenye spoti na michezo mingine.
 • Chaguo za kupendeza za masoko ya kuweka dau
 • Mbinu rahisi ya kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako
 • Bonasi ya kila Ijumaa ya kujaza akaunti yako
 • Sehemu ya nzuri zaidi ya kuweka dau kwa michezo ya moja kwa moja

Kasoro

 • Bonasi na ofa chache
 • Hamna ofa za michezo ya mezani
 • Ukosefu wa uzoefu katika soko
 • Kuna matangazo mengi zaidi kwenye ukurasa wao wa kwanza wa wavuti.

Hitimisho

Ni kampuni iliyo na kila zana za kutosha za kiufundi na kitaalamu za kuendesha biashara ya kamari mtandaoni. Kuanzia kwa odi za kuvutia, bonasi za kupendeza na huduma nzuri na thabiti kwa wateja, kuna kila hakikisho kuwa ni kampuni ambayo inafahamu zaidi vigezo vyote vya kunawiri katika soko la kamari ya mtandaoni. Kampuni hii inaweza kupata umaarufu mkubwa miongoni mwa wateja nchini Kenya iwapo itazigundua njia nyingi za kutoa bonasi na ofa ambazo kampuni zingine bado hazijagundua. Katika upande wa kuimarisha tovuti yao, itakuwa vyema iwapo 22Bet itazingatia kuondoa matangazo mengi kwenye ukurasa wa kwanza wa tovuti ili kuboresha mwonekano wa ukurasa huo kwa wateja.

Kwa wapenzi wa kamari ambao tayari wamejisajili na kampuni zingine za kamari, ninawapa changamoto kufungua akaunti na 22Bet ili wajionee tofauti ya odi na manufaa yanayotolewa na 22Bet ikilinganishwa na kampuni za wastani ambazo tayari zipo.

Please rate this

Leave a Reply